THE ASSOCIATION OF TANZANIAN STUDENTS IN ALGERIA

CHAMA CHA WANAFUNZI WATANZANIA NCHINI ALGERIA (Association of Tanzanian Students in Algeria) Kwa kifupi ATSA. b)Chama kiliundwa na wanafunzi Watanzania wasomao nchini Algeria ; Mwezi Aprili mwaka 2002 katika mji mkuu wa Algeria, Algiers. c)Makao makuu ya chama yapo Algiers

Saturday, September 29, 2007

Baadhi wa wana jumuia ya Atsa wakipozi baada ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Atsa

Posted by BABUHAJI at 5:04 PM No comments:

Wajumbe wa kamati ya uchaguzi mkuu wa Atsa wakihesabu kura huku wakiangaliwa ba wakaguzi kutoka Kenya na Namibia

Posted by BABUHAJI at 4:51 PM No comments:

Juma mkabakuli(kulia) Kassim Mrefu(katikati) na Salim Jumbe wakipozi baadaya ya kupiga kura kumchagua kiongozi mkuu wa Atsa huko Boumerde

Posted by BABUHAJI at 4:45 PM 1 comment:

Friday, September 28, 2007

Dr Leonidas Mushokolwa (katikati) mlezi wa Atsa akiwa na Bi Mary Matari(kushoto) ofisa ubalozi wa Tanzania paris na Bw Masoud Katibu wa naiba waziri

Posted by BABUHAJI at 2:28 AM No comments:

Mh Rais wa Atsa Bw Hassan M .Haji akiteta na Bi Mary Matari ofisa wa ubalozi wa Tanzania Paris walipokutana na wanafunzi nchini Algeria

Posted by BABUHAJI at 2:12 AM No comments:

Wanafunzi wa Tanzania nchini Algeria wakipozi na Mh waziri wa Elimu ya juu Pr Peter Msolla

Posted by BABUHAJI at 2:04 AM No comments:

Viongozi wa Atsa wakiwa na Mh waziri

Posted by BABUHAJI at 1:59 AM No comments:
Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)
Powered By Blogger

HABARI

  • BBC SWAHILI
  • IPPMEDIA

BLOG MAARUFU

  • KAOBIZZI
  • MICHUZI
  • NEWS