Saturday, September 29, 2007

Juma mkabakuli(kulia) Kassim Mrefu(katikati) na Salim Jumbe wakipozi baadaya ya kupiga kura kumchagua kiongozi mkuu wa Atsa huko Boumerde

1 comment:

Mkabakuli said...

Aisee, nawapongeza sana kwa jitihada zenu munazoonyesha huko ughaibuni. Ni Watanzania wachache sana wenye moyo kama huo. Tumekuwa tukisikia jinsi ndugu zenu wanavyobaguana wakiwa Ugenini. This is too bad! Naomba Mungu awajaalie Chama chenu kikue.